Pelvic Inflammatory Disease PID
Pelvic inflammatory disease, ugonjwa huu unafahamika kama PID, ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke . PID ni miongoni kwa magonjwa hatari sana kwa mwanamke una madhara makubwa na unaambukizwa kwa njia ya kujamiiana.
Ugonjwa huu unaweza ukapelekea uharibifu mkubwa kwenye mfuko wa uzazi,mayai ,mirija ya uzazi au sehemu nyingine za uzazi wa mwanamke
Na pia Pid ni moja ya chanzo cha ugumba kwa mwanamke ambacho kinaweza kuzuilika.
TAKWIMU ZINAONESHA
Kila mwaka,zaidi ya wanawake milioni moja nchini marekani wanapatwa na ugonjwa huu wa PID,
Matokeo yake zaidi ya wanawake 100000 wanakuwa wagumba kila mwaka.
Zaidi ya hayo idadi kubwa ya mimba zaidi ya 100000 inatungiwa kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy) inahusishwa na tatizo hilo la PID.
Kiwango kikubwa cha maambukizi ni kwa wasichana wadogo
VISABABISHI VYA PID
Kwa kawaida mlango wa uzazi (cervix) inazuia bakteria ambao wameingia ukeni wasisambae sehemu zingine za ndani za uzazi
Kama mlango wa uzazi cervix umepatwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana kama kisonono na/au clamydia
Mlango huo wa uzazi cervix unaathirika na unakuwa na uwezo mdogo
wa kuzuia kusambaa kwa bakteria sehemu za ndani za uzazi.
PID inatokea pale vimelea vya magonjwa vinaposafiri kutoka kwenye mlango wa uzazi cervix kwenda sehemu za juu za uzazi.
Aslimia 90 ya PID husababishwa na kutotibiwa ugonjwa wa kisonono na klamidia
Visababibishi vingine vya pid
👉Kutoa mimba
👉Kujifungua
👉Vipimo kwenye mlango wa uzazi
DALILI ZA PID
Dalili za PID zinatofautiana,zinaweza kuwa zifuatazo
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida
👉Kichefuchefu na kutapika
👉Homa ya huu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo
MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID
Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya
kupata PID ni kama vifuatavyo
1.Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana kama kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID
2.Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena
3. Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee.
4.Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID
Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.
.Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia kama ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema
MADHARA YA PID
Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha
kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea
👉Ugumba
👉Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy)
👉Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi
Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja(1) unakuwa mgumba
JINSI YA KUJIKINGA NA PID
PID inaweza kuzuilika kabisa ,kisababishi kikubwa cha pid ni magonjwa ya zinaa Mambo ya kuzingatia ili uweze kujikinga na PID
👉Epuka kufanya mapenzi na watu wengi
👉Tumia njia za uzazi wa mpango(barrier) kama kondomu
👉Tumia spermicides kwa kila tendo la ndoa hata kama unameza vidonge vya uzazi
👉 Usitumie IUDs kama unawapenzi wengi.
Note
IUDs ni vitu vinavyowekwa ndani ya uke kuzuia mimba
👉Wahi matibabu ukiona dalili zozote za PID au za magonjwa ya zinaa kama kuto=
kwa na uchafu usio wa kawaida ukeni,maumivu kiunoni nk
👉Pia fanya uchunguzi wa afya ya uzazi mara kwa mara ili kama kuna tatizo ligundulike na litibiwe kabla halijasambaa kwenda kwenye viungo vya ndani vya uzazi
MATIBABU YA PID
Antibiotics hutumika kutibu PID kwa awali na kwa matibabu ya PID ya awali antibiotics za kunywa hutumika.
Kama tatizo limekuwa kubwa mgonjwa atapewa antibiotics ya kunywa na pia ya sindano,kama utagundulika na tatizo hili mwenza wako au wenza wako watibiwe hata kama hawana dalili zozote vinginevyo tatizo litaweza kujirudia mtakaposhiriki tendo la ndoa
TATIZO LIKIZIDI LIKAWA KUBWA YANI USAHA UKAVIMBIA ITAKUBIDI UFANYIWE UPASUAJI
TUNA PACKAGE YA SIKU 90 YA DAWA ZA ASILI ZA KUTIBU PID KATIKA LEVEL YOYOTE
KWA USHAURI NA MATIBABU WASILIANA NAMI KWA
NAMBA 0656459057
Mr Koroti

FAHAMU UGONJWA WA PELVIC INFAMMATORY (PID) NA JINSI YA KUJIKINGA
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
9:51 PM
Rating:
Very good tool
ReplyDeleteunajitokeza mda gani baada ya kupata mambukizi ya ungonjwa wa PID
ReplyDeleteTc a gud lesson god bless u
ReplyDeletetiba ys asili ni sh ngap jmn
ReplyDeleteKipimo sahihi Cha kutambua pid ni kip
ReplyDeleteHerpes is a serious and recurring disease which can't be cured through drugs or injections by the American doctors but the best way to deal with Herpes is by taking natural herbs medicine for permanent treatment.I'm here to appreciate Dr James for using his herbal medicine to cure my herpes virus. Is about 3 years and 6 months now I have been living with this virus and it have really really been a serious problem to me, I was so confused cause I have been taking several drugs to be cure but all of my effort was in vain, one morning was Surfing through the internet then I saw several testimonies about Dr James curing people from herpes virus / HIV AIDS and Immediately I contacted Dr James on his email: drjamesherbalmix@gmail.com. I told him about my troubles and he told me that I must be cured. He gave me instructions and which I rightly followed, so he prepared a herbal medicine and sent it to me which I used for three weeks and I was cured. everything was like a dream to me and my herpes was permanently gone. Dr James thank you and may you have more power and wisdom for more cure, I don't know if there is anyone out there suffering for herpes virus or any KIND OF diseases LIKE... DIABETES, CANCER, HIV/AIDS, HERPES, HEPATITIS A&B, CARDIAC DISEASES, CHRONIC DISEASES, YELLOW FEVER, EPILEPSY, LUPUS, STROKE, SPINAL CORD, ECZEMA, KIDNEY DISEASES, ACME, BACK PAIN, DENGUE SCHIZOPHRENIA, APOLLO,MULTIPLES SCLEROSIS, HIGH BLOOD PRESSURE, VAGINAL DISCHARGING, ARTHRITIS, MENINGITIS itchy' contact.Doctor James and be free from your diseases because he is very good and honest herbalist doctor, he is also known as the godfather of herbal root. Contact him now via his email: drjamesherbalmix@gmail.com whatsapp or call him on +2348152855846
ReplyDeletePID ni ugonjwa unaosumbua sana. Ila Kuna dawa ya asili uhakika ya kupona kabisa. Bofya link yao dawa ya PID au google mtandao wao unaitwa dawazetu
ReplyDelete