FAHAMU MAAJABU YA MMEA UNAOTIBU MAGONJWA YOTE


MAAJABU YA MMEA WA GINSENG KATIKA TIBA
ginsenoside ni kiambata cha steroid kinachopatikana katika mimea ya aina ya "ginseng" mimea hii ina thamani kubwa na ina historia ndefu sana na watu wa China huiita mfaulme wa mitishamba "king of magic" hii inatokana na kazi ambayo mimea hii hufanya katika mwili wa binadamu
​Inasemekana mimea ya ginseng hutibu mgonjwa yote 😜​
dawa hii hutengenezwa kutokana na mizizi ya mimea ya ginseng (red &white root)
​Ginseng​ ni miti shamba inayouzwa sana katika nchi ya marekani kwa takribani asilimia 15 mpk 20% ya mitishamba yote inayouzwa marekani ni ginseng
Kwa tafiti zilizofanyika hivi karibuni zinaonyesha ginseng hufanya kazi mbalimbali kama ambavyo nitazieleza hapo chini
steroid ya aina hii hupatikana tu mimea ya jamii ya ginseng
​Ginseng ni molecule ndogo na inapoingia mwilini huingia katika kila ogani ya mwili sababu ya udogo wake na hufanya kazi yake kwa uhakika zaidi mpk pale itakapotolewa nje ya mwili.
Udogo wa steroid hii ya ginseng na ueneaji wa dawa hii katika kila ogani ya mwili na uwezo wake wa kukaa mwilini kwa mda mrefu huifanya ginseng kuwa dawa imara katika kutibu magonjwa mengiii na kupelekea kubadili afya mbovu ya mwanadamu kuwa nzuri 😋😋😋
​Je dawa ya yetu ya ginseng inaundwa na vitu gani??

ginseng yetu  na vitu vikuu viwili ambavyo ni RG3 na RH2
Kuna aina nyingi za steroid ya ginseng kama vile RG1, RG2, RG3, RH1, na RH2
lakini Kati ya hivi RH2 na RG3 ndizo steroid zinazoweza kupambana na magonjwa mbalimbali na kuzuia kansa
GINSENG yetu inaundwa na RH2 na RG3 unaweza kuona jinsi gani dawa hii ilivyo ya muhimu
ikumbukwe tu ginsenoside inatibu magonjwa yotee kwahiyo upatapo mgonjwa ambaye ni complicated USISAHAU king of herbs kwani hajawahi kushindwa linapokuja suala la magonjwa
JE GINSENG INAWAFAA WATU GANI???
1. wagonjwa wote wa kansa especially stage 1 na 2 ili kuzuia kukua na kuenea kwa kansa
2.wagonjwaa wote kabla ya operation ili kupunguza ukubwaa na uvimbe na kufanya operation iende vzurii
3.wagonjwaa wanaotoka operation ili kufanya wapone haraka na wadishambuliwe na magonjwa
4.wagonjwaa wotee wanaotumia mionzi na chemikali ili kupunguza madhara ya dawa hizo
5. Watu wenye kinga ndogo ya mwili
6.wazee
7.wagonjwaa wa mda mrefu
8.wagonjwaa wa kisukari,magonjwa ya moyo, kiharusi, no
9. Allergy za aina zote

KAZI YA GINSENG RH2
hii hufanya kazi zifuatazo
1.Huzuia ukuaji na ueneaji wa kansa
2.husaidia katika uondoaji wa kansa
3.huongeza kinga ya mwili na hivyoo kufanya mwili kupambana na kansa na magonjwa mbalimbali
4.hubalance mfumo wa kinga ili kuzuia kansa kutokea
5.huzuia mtu asizeeke kirahisi ndo maana m naonekana kijana tu daily
6.huzuia na kuondoa uchovu wa mda mrefu

KAZI YA GINSENG R3
Kiambata hiki ni cha mhimu sana na hufanya kazi zifuatazo;
1.hutibu magonjwa ya moyo
2.hutibu magonjwa ya mzunguko wa damu
3.hutibu magonjwa yanayoukumba ubongo
4.magonjwa ya mishipa ya moyo
5.kupooza kwa miguu na mikono
6.hurudisha kumbukumbu hasa kwa watu walokumbwa na stroke
7.HUTIBU KANSA MBALIMBALI
ginseng RG3 hufanya yafuatayo kupambana na kansa;
a)huzuia kutokukua na kuenea kwa kansa
b)ikitumiwa pamoja na dawa zinginee za kansa km radiotherapy na chemotherapy huweza kuondoa kansa hiyo kwa kiasi kikubwa na kupunguza madhara utakayoyapata kutokana na dawa hizo
c) huongeza kinga ya mwili hasa T..cells hivyoo kuupa mwili uwezo mkubwa wa kupambana na kansa na magonjwa mengine
8.huongeza uelewa na ufikiriaji kwa wale wenzangu na mimi ambao akili zetu zinasumbua piga ginseng kidogo utafanya vzurii sana katka masomo baada ya kupiga ginseng utakuwa ✈✈😂😂😂😂😂
9. Huondoa allergy kwani huzuia utolewaji wa histamine
10.husaidia katika kutibu kisukari kwani hufanya ongezeko la utolewaji wa insulin
11. Huondoa uchovu wa mda mrefu kwa wagonjwaa wa siku nyingi na wale tunaofanya kazi ngumu bila kupumzika
Kutokana na ugumu wa kupata mmea huu bars la Afrika sisi tumeuweka katika mfumo wa vidonge ambapo unaweza kutumia  1*1 nusu SAA baada ya kula
By Koroti
Health Consultant.
WhatsApp 0656459057
www.korotitz.blogspot.com
www.facebook.com/KorotiProduct1
FAHAMU MAAJABU YA MMEA UNAOTIBU MAGONJWA YOTE FAHAMU MAAJABU YA MMEA UNAOTIBU MAGONJWA YOTE Reviewed by Koroti MlMProTz on 11:22 PM Rating: 5

1 comment:

  1. I have the best gingseng korean gingseng please we can do bussiness 0654384013

    ReplyDelete