Siku moja nilipokuwa natembelea mitandao ya kijamii yapata mwaka sasa nilikutana na makala imeandikwa kama unapenda kujiajiri na ufanye biashara nami wasiliana nami kwa namba zifuatazo ntakusaidia na ntakuongoza uepukane na makosa ambayo mimi binafsi nimepitia na yakanichelewesha kufanikiwa kusema kweli ilinivutia sana sikusita kupiga hiyo namba na kumpata huyo mtu anipe maelekezo MARA YA KWANZA
Nilkua na shauku kubwa sana kujua zaidi kila mara aliniambia utajifunza tarartibu ndo jibu nililopewa toka hapo nkajifunza uvumilivu na umuhimu wa elimu kwenye biashara na nkaanza kufanya biashara kwa muda wa mwaka sasa LENGO LANGU
Nikusaidia watu ambao wanategemea kipato kimoja au hawana kipato waanze biashara maana mimi nilianza nikiwa chuo mpaka nmemalza chuo nikawa naendelea ,nilipata wasiwasi sana nilipopata kazi kama ntaweza kufanya vyote ila nmeona nimeweza kufanya vyote tena vizuri zaidi kwahyo naamini nawewe utaweza kufanya ndio maana nmekundalia semina ya week kwa mfumo wa video
JINSI YA KUFANYA BIASHARA UKIWA NYUMBANI/HOME BUSINESS
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
12:23 AM
Rating: 5
No comments: