ZIJUE FAIDA KUMI NA NNE(14) ZA KUTUMIA MATANGO(CUCUMBER)


Karibu sana rafiki yangu mpendwa msomaji na mfatiliaji wa Makala za afya kupitia page yetu hii ya Koroti Product Supply Tanzania,leo tutazungumzia umuhimu wa kutumia matango kwa ajili ya afya zetu
Matango yanashika nafasi ya nne kwa kulimwa katika aina ya mbogamboga zinazolimwa duniani kote na tunda hili linafahamika kuwa miongoni mwa vyakula bora kwa afya yako maranyingi yanaitwa superfood.
JINSI YA KUCHAGUA TANGO BORA KWA AFYA YAKO
1.Angalia tango lenye rangi ya kijani mkozo(dark green)
2.Angalia tango ambalo bado ni ligumu vizuri halijalegea(firm).
Baada ya kuchagua tango osha vizuri kwa maii safi sasa unaweza kulitumia kwenye kachumbari,au kwa kulikata na kula hivyovyo,pia kutengenezea juisi
FAIDA ZA KUTUMIA MATANGO
1.Kuupatia mwili maji ya kutosha
Kwa wale ambao ni wavivu au wako busy sana hata kupata muda wa kunywa maji ya kutosha inakuwa ngumu,Tafuta matango ya baridi ambayo asilimia tisini ni maji,Yatasaidia kurudisha maji yaliyopotea mwilini
2.Husaidia kupambana na joto kali ndani na nje ya mwili
Kula tango husaidia kupunguza joto kali ndani ya mwili(heartburn) na pia kupaka kwenye ngozi kutakusaidia kpunguza kuungua na jua
3.Huondoa sumu mwilini(toxins)
Maji yaliyopo kwenye matango huwa kama fagio ambalo linasafisha uchafu wote ndani ya mwili,Ulaji wa matango mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo(dissolve kidney stones)
.
4.Husaidia kuongeza vitamin ndani ya mwiili A B n C
Vitamin A,b na C huoneza kinga ya mwili na kukupatia nguvu za kutosha,Unaweza kutengeneza juice ya tango ukichanganya na spinach pamoja na karoti kuifanya nzuri na yenye nguvu Zaidi,vitamin c ni nzui kwa ngozi asilimi 12 inashauriwa
5.Matango yana madini ya potassium ,magnesium na silicon kwa wingi ndio maana yanafaa katika tiba
6.Yanasaidia katika umeng’enyaji na kupuguza uzito
Matango kwa sababu ya maji mengi na low carlories ni mazuri kwa kupunguza uzito,pia kutokana na fiber zilizpo zitafanya mmeng’enyo wako uende taratibu,,Ulaji wa matango mara kwa mara husaidia kuondoa tatizo la kupata choo
7.Husaidia sana kusafiha macho
8.Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi zllizodhofika na magonjwa
Chukua kipande cha tango na ubonyezee kwenye ukuta wa mdomo wako kwa ulimi wako kwa muda wa dakika moja,pythochemicals ambazo zipo kwenye tango zitaua bacteria waliopo mdomoni mwako ambao wanasababisha harufu mbaya
9.Maajabu ya madini ya silica yaliyopo kwenye tango yatafanya nywele zako na kucha kung’aa na kuwa imara Zaidi
10.Matango yanaongeza afya ya joint zako na kuondoa maumivu ya kwenye magoti na arthritis
Kwa maana yana silica nyingi yanapochanganywa na karoti kutengeneza juice yanaondoa maumivu ya magoti kwa kushusha level ya uric asidi
11.Inatibu kabisa hangover
Kuepuka kuumwa kichwa asubuhi au hangogver unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala,Matango yana vitamin B ya kutosha ,sukari na electrolyte ambayo inalishe za muhimu ambaz zinasidia kuondoa hangover na maumivu ya kichwa
12.Matango yanasaidia figo kuwa katika umbo lake halisi
Matango yanasaidia kushusha level ya uric aside na kufanya figo kuwa na afya
13.Yanasaidia kupambana na kansa
Matango yana secoisolariciresinol,lariciresinol na pinoresinol,vitu hivi vitatu husaidia kupambana na kansa ya titi,kansa ya mfuko wa uzazi,tezi dume, na kansa ya yai la kike(ovarian)
14.Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti presha
Matangoa yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,Pia matango yana madini ya potassium na magnesium na fiber ,vit hivi husaidia kudhibiti presha
Hii ndio sababu matango ni mazuri kutibu presha ya kushuka na presha ya kupanda
Asante sana kwa kusoma Makala hii mpaka mwisho naamini umetoka na kitu ambacho kitakufanya ulione tango kwa utofauti mkubwa kama tiba
Imeandaliwa na
Koroti Mwashungu Health Consultant
KARIBU SANA NDUGU YANGU KWA MAKALA ZIJAZO ZA AFYA NA KAMA HUJALIKE PAGE HII LIKE LEO KWA KUJIPATIA MAKALA ZA AFYA ,
PIA KARIBU SANA KWA USHAURI NA TIBA JUU YA MAGONJWA SUGU
TUNATIBU KABISA PRESHA ,VIDONDA VYA TUMBO,KISUKARI NA MENGINE MENGI
MAWASILIANO
0656459057
WhatsApp 065459057
ZIJUE FAIDA KUMI NA NNE(14) ZA KUTUMIA MATANGO(CUCUMBER) ZIJUE FAIDA KUMI NA NNE(14) ZA KUTUMIA MATANGO(CUCUMBER) Reviewed by Unknown on 6:47 AM Rating: 5

15 comments:

  1. Nashukuru sana kwa kutupa hzi dondoo za afya na tiba zake

    ReplyDelete
  2. mungu akubariki kwa kujali afya za wengi

    ReplyDelete
  3. Asante kwa ushauri mzuri na kutufundisha, maana wengine tulikua hatujui umuhimu wa tango mwilini, Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete
  4. Asante Sana mwalimu kwakutuelimisha juu ya umuhim wa tango tunashukulu Sana maana umetusaidia sana

    ReplyDelete
  5. Asante sana nitaanza kula tango kila siku,ubarikiwe

    ReplyDelete
  6. Umenipatia elimu ykutosha nmkuelewa sanaaa

    ReplyDelete
  7. Ukijali afya za wengine ata mungu atajali yako

    ReplyDelete
  8. Ahsante kwa elimu

    ReplyDelete
  9. Nimejifunza ubalikiwe

    ReplyDelete
  10. Hakika nmejifunza mengi sana juu ya tango nlikuwa nalichukulia poa sana ila kwa sasa nipo live kuhusu matumiz ya tango. God bless you .

    ReplyDelete
  11. Nashkuru kwa kuzijua faida izi

    ReplyDelete