CHANZO CHA FUNGUS UKENI NA TIBA ZAKE


Habari za leo ndugu msomaji wa makala za Mr Koroti leo nimependa kuzungumzia ugonjwa wa fangasi ukeni ambao ni common hususani kwa wanawake,
maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili
maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana kama YEAST INFECTIONS /THRUSH
CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia.
~bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS kama AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa mbalmbali .
~maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk

VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
· Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
· magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
· wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
· upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
· matumizi ya vidonge vya majira
· msongo wa mawazo
· kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
· matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
· kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri

DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
· kuwashwa sehem za siri
· kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
· kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
· kupata vidonda ukeni (soreness
· kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora
· kupata maumivu wakati wa kukojoa
· kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
· Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
· epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya
· kula mlo wenye virutubsho muhimu
· epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
· osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
· epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
· tumia ped na pantiliner zenye anions chip zenye uwezo wa kufyonza haraka zenyewe zinaitwa NEPLILY SANITARY PADS ambazo mara nyingi hazipatikani madukani, hvyo basi tujulishe tuweze kukutumia pale ulipo.
· kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
· epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni nakushaur utumie lady intimate sabuni ya asili isiyo na kemikal na inayoboresha uke wako .
 Kwa ushauri na matibabu wasiliana nami
0656459057
Whatsapp 0656459057
Koroti Mwashungu
Health Consultant
CHANZO CHA FUNGUS UKENI NA TIBA ZAKE CHANZO CHA FUNGUS UKENI NA TIBA ZAKE Reviewed by Koroti MlMProTz on 9:21 PM Rating: 5

9 comments:

  1. Replies
    1. Fermicare cleanser Ni nzuri kwa shida ya fangasi...inauzwa sh 45,000....0656357443

      Delete
  2. Iko vizuri so sawa sahihi ni IPi?

    ReplyDelete
  3. Habari ,nasumbuliwa na kutokwa na uchafu wenye damu kabla na baada ya hedhi na nikishiriki tendo la ndoa damu lazima itoke.Naomba ushauri na tiba

    ReplyDelete
  4. Nielekeze jins ya kutumia fermicare

    ReplyDelete
  5. Jamani huu Ugonjwa unakosesha sana amani kwanza unawasha na kutoa harufu pili hata hamu ya mapenzi unakosa kabisa yaani. Nimemtumia dawa nyingi sijui kuweka limao, sijui majani Gani Yale ila sikupona. Kuna mtu alinielekeza kwa Hawa watu wanaitwa dawazetu dawa Yao ilimsaidia. Link yao hii hapa. dawa ya fangasi ukeni

    ReplyDelete
  6. Na mama angu anahuu ugknjwa je nitapataje faaa

    ReplyDelete