JINSI YA KUTUMIA MASAA 24
VIZURI
Kila mtu ana masaa
24 inategemea nawewe unayatumiaje
Hebu andika chini vitu
ambavyo unavifanya kwa siku kwa kutumia muda wako utakuta kimoja au zaidi kati
ya hivi
Kufanya kazi
Kuangalia movie
Kupiga stori na wenzako
Facebook
Email
Kulalal
Kutumia internet
Kwenda kununua vitu
Kulala
Kwenda kula
Ili kutumia muda wako
vizuri unaweza fanya yafuatayo
Hamia karibu na kazini
Anza kazi kwa muda na
umalize kwa muda
Unaweza ukatenga muda wa
facebook ,email na kutumia internet kwa pamoja hata mara mbili kwa siku asubuhi
na jioni
Unaweza pia ukafanya zile
kazi ambazo haziumizi kichwa wakati una nguvu kidogo
Na ukaweka target ya
kufanya kazi ngumu wakati akili yako ina nguvu zakutosha
Naamini utakuwa
unajifahamu ni muda gani akili yako inakuwa vzuri sana ,wengine ni asubuhi sana
inategemea na mtu
Tengeneza list ya vitu
vya kufanya kila siku hii itakusaidia sana kupangilia muda wako,Baada ya
kutengeneza anza na zile kazi ngumu na hakikisha unamaliza kazi moja ndo unahamia nyingine usibadili badili kazi
utapoteza ,muda wako
WATU WENGI TUNAJIONA
TUNAWEZA KUFANYA KAZI NYINGINYINGI KWA WAKTI MMOJA LAIKIN HAKUNA UKWELI FANYA
MOJA MALIZA HAMIA NYINGINE.
Quote
:
If
you are dreaming , why not dream BIG ? It takes the same amount of effort –
Donald Trump – billionaire
real estate developer and builder
Kama una ndoto kwanini
usiwe na ndoto kubwa maana nguvu ni ileile ya kuota
JINSI YA KUTUMIA MASAA 24 VIZURI
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
8:21 PM
Rating:
No comments: