UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME



Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.


Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.

Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-

1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.

Mishipa hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje. Kulegea kwa mishipa ya kiume kunasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. Mtu anaye piga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake.

Vilevile matumizi ya madawa makali (hususani madawa ya kizungu) ya kuongeza nguvu za kiume, husababisha mishipa ya uume kulegea. Hii ni kwa sababu madawa haya hui-overdosemishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake.

Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu.

2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa: Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na msongo wa mawazo.

3. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.

4. Kufika kileleni mapema


5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.


6. Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri.
Tajwa hapo juu ni dalili kuu za tatizo la ukosefu ama/na upungufu wa nguvu za kiume.

CHANZO CHA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kwa ufupi sana, mambo yafuatayo ndio vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume:-

i. Upigaji punyeto wa muda mrefu.
ii. Msongo wa mawazo.
iii. Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu (pressure).
iv. Kupooza kwa mwili.
v. Kuugua ugonjwa wa ngiri.
vi. Kuugua chango la kiume.
vii. Ulevi uliokithiri.
viii. Kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa.
ix. Woga wa kufanya tendo la ndoa.
x. Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma.
xi. Ulaji mbovu wa vyakula haswa vyenye mafuta mabay au sukari kupita kiasi.
xii. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.

ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kutokuwa na nguvu za kiume huleta madhara na athari nyingi sana kwa muhusika. Baadhi ya athari hizo ni pamoja na:-

1.Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.Kuvunjika kwa ndoa.
2.KUJIUA
 Baadhi ya wanaume hufikia uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa kubwa na kutumia dawa za aina mbalimbali bila mafanikio.
3.CHACHU YA MAAMBUKIZI YA VVU
Upungufu wa nguvu za kiume huongeza chachu ya maambukizi ya V.V.U kwa wanandoa: Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa kike/ mke wa mwanaume anaye sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili, mwisho wa siku mwanamke huyo huweza kumletea magonjwa mume wake mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokutana kimwili katika hali hiyo hiyo ya kutoridhishana.
4.ULEVI KUPITA KIASI
Wakati mwingine wanaume wanao sumbuliwa na tatizo hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili angalau kupunguza mawazo.Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika kwa kiasi kikubwa sana.

SULUHU YA TATIZO
Ni kushughulika na chanzo cha tatizo  kwa wenye tatizo ambazo limesababishwa na sumu mwilini au mzunguko wa damu kwenye uume
tuna package ambayo inaweza ikakusaidia kukurudisha katika hali yako ya kawaida

MAWASILIANO
Text/WhatsApp 0656459057
Koroti Mwashungu
Health Consultant

UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Reviewed by Koroti MlMProTz on 3:18 AM Rating: 5

No comments: