FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU
UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika
mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe kama
bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo
hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na
kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo
MFUMO WA MKOJO
Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu
na maJi ya ziada
Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra
sitachambaua kwa undani hizi sehemu
KISABABISHI CHA UTI
Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye
Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na
Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa
kupata tiba pamoja,
Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu
milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu
KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?
Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na
maumbile yao ya nje
1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake
ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu
2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni
vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru
Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa
zito kutibu tofauti na kwa wanawake
WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI
#Watu
wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
#Mtu
yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
#Tendo
la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
#Baadhi
ya njia za uzazi kama kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk
KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)
Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia
mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo
1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo
kutotibika na kurudia tena
2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na
damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao
bakteria
DALILI ZA UTI
1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa
nyeusi au rangi ya mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu
mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo
JINSI YA KUZUIA UTI SUGU
1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha bakteria kwenye
mfumo
2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara kila anapojiskia
kukojoa
Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza zalisha bakteria
Na baada ya kukojoa wanawake wanatakiwa kujisafisha kuanzia
mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra
3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo hazibani sana
kuruhusu hewa kupita vizuri ,epuka jinsi zinazobana sana ambazo zinaweza
kukusanya na kuleta tatizo.
4.Tumia ped za neplily ped pekee zenye uwezo wa kuzuia na
kutibu UTI na pia zinaruhusu hewa kupita vizuri
MATIBABU YA UTI SUGU
Tumia package yetu ya siku 90 ANTI-UTI PACKAGE package yenye
dawa ya kuondoa tatizo la UTI sugu pamoja na pedi zake ambayo itakusaidia
kuondokana na tatizo hilo package ambayo imesaidia wengi na inazidi kutoa
ushuhuda kwa jamii
PACKAGE HII IPO YA WANAUME NA YA WANAWAKE UTI INATIBIKA
Kwa ushauri na matibabu wasiliana nami
+255 656459057
Whatsapp +255 656459057
Koroti Mwashungu
Health Consultant
UGONJWA WA UTI NA TIBA ZAKE
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
1:50 PM
Rating:
No comments: