DHAHABU YA JOINT(SHARK CARTILAGE)

JE UNAIJUA DAWA AMBAYO INAONGOZA KUTATUA MATATIZO YA MIFUPA NA JOINT?
SHARK CARTILAGE /DHAHABU YA JOINT
Shark cartilage imetengenezwa kiasili kabisa kwa kutumia madini ya glucosamine sulfate ,chondroitin sulfatena madini mengine ya muhimu kwa ajili ya ukuaji mzuri wa maungio

KWANINI IITWE DHAHABU ?
Shark cartilage inaitwa dhahabu ya joint kwasababu
 Inauwezo mkubwa wa kupunguza msuguano kwenye maungio ya mifupa(cartilage)
 Inasaidia kurekebisha maungio yaliyoharibika(degenerated cartilage)

SHARK CARTILAGE YETU IMETENGENEZWA NA VIFUATAVYO
Cartilage ya papa kutoka kwenye kichwa,mgongo na matamvua ya papa waishio Australia wa maji yasiyo na chumvichumvi kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu vitu hivi hutengeneza kidonge cha kiasili chenye vitu vifuatavyo
Collagern protein,calcium,zinc ,phosphorous na madini mengine mengi ambayo ni muhimu kwa mifupa ya binadamu

KAZI ZA SHARK CARTILAGE MWILINI MWA BINADAMU
Inasaidia kutibu joint zilizoharibika
Inasaidia kuondoa maumivu ya mgongo
Inasaidia kutibu arthritis kwa vijana hasa kwenye mabega
Ukiitumia kwa muda mrefu inafanya mwili wako kuwa imara na kuweza kujikinga na matatizo ya joint
Inalainisha joint na kuzuia kukakamaa
Inaongeza uzalishaji wa uteuute kwenye joint na kupunguza msuguano
Inaondoa uvimbe kwenye joint na ukakamavu
Inaondoa maumivu yoyote kwenye joint na kuondoa ukakamavu wake
Inasaidia kulisha maungio(cartilage) na kurekebisha ziwe sawa

WATU AMBAO WANATAKIWA WATUMIE
Wanawake wanaokaribia ukomo wa hedhi
Wanawake ambao wamefika ukomo wa hedhi
Watu wenye arthritis ya aina yoyote
Watu wenye matatizo ya mifupa
Watu wenye gout

UKIHITAJI DHAHABU HII YA JOINT WASILIANA NAMI
Text/WhatsApp  0656459057
Koroti Mwashungu
Health Consultant



SHARK CARTILAGE FUNCTIONS
Increase the elasticity of bone joint and help to improve metabolism  of joints 
Promote the formation of synovial fluid ,reduce the friction of joint movement
Supply cartilage nutrition for joints, repair joint cartilage
Relief of athritic pain,relieves ostearthritis nd hyperrestosis
Decreseas joint swelling and stiffness ,improves joint flexibility

WHO NEEDS SHARK CARTILAGE COMPOUND?
.People with various kinds of athritis
People with bone diseases
Women in menopause
Climacteric women
People with gout 

DHAHABU YA JOINT(SHARK CARTILAGE) DHAHABU YA JOINT(SHARK CARTILAGE) Reviewed by Koroti MlMProTz on 12:17 PM Rating: 5

1 comment:

  1. It is my great pleasure to visit your website and to enjoy your excellent post here. I like that very much.

    ReplyDelete