KAMA WEWE UMEKUA UKIPATA UTI , FUNGUS NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI,VIJIPU/VIPELE ZINGATIA HAYA ILI USIPATE TENA
๐๐ป๐๐ปHaya ni matatizo ambayo yanawakumbuka wanawake wengi sana na wameshindwa kujua tatizo ni nini , kama wewe ni mmoja wao endelea kusoma hapa
Kwanza kabisa napenda ujue UTI fungus na miwasho haiwezi tyuu kuja lazima kuwe na sababu au chanzo chake
VYANZO. AU SABABU
๐๐ปYawezekana hujisafishi kama inavotakiwa sehemu za siri, njia sahihi ya kujisafisha ni kutojiingiza vidole (kujichokonoa) wala kutumia sabuni yoyote kujiosha ..;;;
Wanasayansi wanasema uke unauwezo ya kujisafisha wenyewe kwahiyo husapaswi kujisafisha tofauti na tulivoelekeza , ukijisafisha tofauti unatoa wale bacteria wazuri ambao wanakulinda hivyo kupelekea miwasho ,fungus na UTI za Mara kwa Mara
Jiulize wew unajisafishaje ?
๐๐ปyawezeka umegundulika na U TI au fungus na una mpenzi wako ambaye unashirikiana naye tendo la ndoa bila kutumia kinga
Kama una mpenzi wako na umegundilika na hayo matatizo ni vyema mkaenda wote hospital mtibiwe kwa sababu kuna uwezekano nyie wote mkawa na hilo tatizo na kama unavyojua kwa mwanaume huwa unachukua mda kuonekana dalili hizi
Kama hautafanya hivyo utaishia kila siku kupata UTI na fungus za Mara kwa Mara
Kama Una Mpenzi wako
Jiulize ulipopata tatizo hili mlienda hospital mkapima na kupata matibabu wote???
Kama jibu ni hapana yaweza kuwa ndo sababu unapata uti za Mara kwa Mara
๐๐ปunatumia pedi gani wakati Wa hedhi
Kama hautumii pedi ambazo ni sahihi kwa mwanamke hasa zile ambazo hazipitishi hewa na kutengenezwa na materials ambazo sio rafiki kwa kwako
Yaweza kuwa hii ndio sababu unapata UTI za Mara kwa mara
Tumia pedi ambazo ni rafiki kwako
Zenye kupitisha hewa safi
Zimetengenezwa na pure cotton 100%
Zinafyonza uchafu vizuri na kukuacha mkavu mda wote
Pia uonapo umechafuka wahi kubadili pedi yako
๐๐ปHaKikisha vyoo unavotumia ni visafi mda wote
Kwa wale ambao wanatumia vyoo vya public hakikisha unamwaga maji mengi kabla hujatumia choo
๐๐ปPenda kuvaa chupi cotton na sio za aina nyingine
๐๐ปKuwa masafi.mwenyewe kiujumla
๐๐ปUsipende kushare na watu nguo za ndani na mataulo ya kuogea
Kama umekuwa ukihangaika na tatizo hili hakikisha unafata hizo tips
Na tumia tumia neplily plus pads kwa kuvaa kila siku ndani ya mwezi
Hakika utaona mabadiliko na hutapata tena UTI ,fungus , na miwasho yoyote katika maisha yako.
Hujitawazi kwa usahihi ( kuanzia mbele kurudi nyuma)
Unajiingiza vitu sehemu za siri visivotakiwa
Unavaa chupi nyeusi kipindi cha joto na sehemu za joto
Kama umepata kitu hapo comment ndio
Na ulipokua unakosea
Haunywi maji ya kutosha.
Ukijua hivi vitu inakua umepona na ni muhimu kujua
Kwasabab hata kama ukienda hospital lakini hujashughulika na chanzo bado utakuwa haujafanya kitu
Ndo mana utakuta kila siku huponi
Kabla hujaenda hospitali hakikisha unazingatia hizi tips zitakusaidia sana .
Ukishajua chanzo ni nini ili kutibu tatizo anza kutumia neplily plus pads kama tiba na hakikisha unafata kila tulichokushauti hapa
Ukifuata hivo utapona kabisa tunakuahidi hivo tunaomba feedback yako baada kufuata ushauri
Somo limeletwa kwenu na wakala wa neplily pads na mshaur wa afya Mr korot
SABABU ZA MIWASHO FUNGUS UKEN NA SULUHU ZAKE
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
8:23 PM
Rating:
No comments: