Neplily plus pads zinatumika kama kinga na tiba kwa baadhi ya matatizo ya mfumo wa uzazi hivyo basi lazima mtumiaji ajue jinsi gani anaweza kutumia ped hii kwa ufanisi ili aweze kupata matokeo anayotaka
Kwa wasio na tatizo lolote
Neplily pads inauwezo wa kufyonza uchafu mpaka mil 280 yani zaidi ya nusu chupa ya maji ya kilimanjaro hvyo kama uko kipindi cha hedhi vaa kama ulivyozoea kuvaa pads zingine
Na ubadili kwa muda husika kiafya pads inatakiwa kipindi cha hedhi ikae mwilini isizidi masaa 4
Kwa watu wenye matatizo kama
👉damu kutoka nyingi
👉Miwasho.
👉Mzunguko mbovu
👉Maumivu makali ya tumbo na kiuno wakati wa hedhi
👉 Uti au fungus inayojirudia
👉Kotokwa na uchafu
👉harufu mbaya sehemu za siri
👉Tatizo LA homoni
Unashauriwa kutumia ped hii angalau siku 30 au zaidi kama ifuatavyo
Kutegemea na tatizo ulilonalo
Unavaa asbuhi jioni unavua unaoga ,ukishaoga huvai tena mpaka kesho asubuhi unavaaa tena
Hivyohivyo kumbuka kila ukishavua huo wakat wa jion hurudii kuvaa hyo pc kesho unavaa pc nyingine
Na ikifika wakati wa hedhi utavaa kama ilivyoelekezwa kwa watu wanaotumia kawaida
Ikitokea tatizo lako likaisha kabla ya mwezi kuisha utaacha kuvaa siku ambazo haupo period na kutumia wakati upo period tu
Imeandaliwa na mshauri wa afya Hedhi salama Team
0656459057
Afya ni mtaji
Mwanamke jithaminishe kuwa wa tofauti
JINSI YA KUTUMIA NEPLILY PLUS PADS
Reviewed by Koroti MlMProTz
on
9:16 PM
Rating:
No comments: