🌼💐GINKGO BILOBA💐🌼 Huu ni mti 🌳ujulikanao kama masalia yanayoishi ni mti ambao umetokana na masalia ya miaka milioni mia 3 iliyoyopita , Moja ya sifa kuu za mti huu ni kwamba wenyewe una uwezo mkubwa wa kujizuia na magonjwa na mti ambao haaugui ugonjwa wowote ☘Mti huu ulkuwa unasemekana ni mti wa matunda matakatifu miaka iliyopita huko nchini china Sasa kwa karne hii ya sasa hivi mti huu umekuwa ukitumika kwenye vyakula ,vipodozi, kutengeneza na kuwa mrejesho mzuri sana katika soko la kibiashara. ☘Mti huu tumeuweka katika vidonge ambavyo vimetengenezwa kitaalamu kwa uangalifu wa hali ya juu ili kulinda ubora wa mti huu na uwezo wake wa kitiba na endapo mtu atapenda kutumia vidonge hivi kutoka kwa mawakala wetu vitaweza kumsaidia mambo yafuatayo 🌼 KAZI ZA GINKGO BILOBA 🍃Inapunguza matumizi ya oxygen kwenye kuta za moyo na kusaidia damu kupita vizuri kwenye moyo na kwenye ubongo hivyo kufanya ubongo kuweza kupata nguvu kwa haraka 🍃Inaboresha ufanyaji kazi wa ubongo hasa katika kujitengenezea nguvu (metabolism) hivyo kusaidia ubongo kufanya kazi kwa spidi nzuri na kuwa suluhu la maumivu ya kichwa nk 🍂Inasaidia sana katika mfumo wa upumuaji hivyo kusaidia kutibu pumu ,matatizo ya kifua na kuzuia uvimbe wowote kwenye mfumo huu wa hewa 🍂Inadhibiti mafuta kwenye damu pamoja na lehemu(cholesterol) Inaongeza kinga ya mwili na kuondoa sumu za mabaki ya oxygen ambazo sumu hizi zikibaki mwilini zinaweza sababisha kansa,ngozi kujikunja nk 🌼 Ginkgo biloba ni tiba pekee kwenye matatizo yanayosababishwa na moyo ,ubongo na na mzunguko wa damu 💐GINKGO BILOBA NI MUHIMU KUTIBU SHIDA ZIFUATAZO 🔸Kutibu presha kabisa ya kushuka pamoja na ya kupanda 🔹Matatizo ya masikio kama vile kupoteza uwezo wa kusikia vizuri ,kelele kwenye masikio kama mtu anapiga kengele 🔸Matatizo ya macho kama vile mtu kutokuona vizuri mpaka wakati mwingine anaona giza,pia maumivu ya kichwa ya mara kwa mara yanayotokana na macho 🔹Kupooza (paralysis) Kupambana na matatizo ya ubongo kama celebral thrombosis ambao ni ugonjwa unaoweza kupelekea mtu kupata stroke ,hivyo dawa hii ni kinga kwa stroke. 🔸Matatizo ya moyo kama vile chembe ya moyo pamoja na tatizo la vichomi kutokana na tatizo la mlundikano wa damu sehemu moja 🔹Uwezo wa ubongo kushuka kama vile kuwa msahaulifu(yani kupoteza kumbukumbu mara kwa mara) 🔻🔸🔹 DOSE KAMILI NI SIKU 96 UKICHUKUA PACKAGE YETU MOJA INA VIDONGE 96 YASIKU 32 UNAMEZA 1*3 NUSU SAA BAADA YA KULA 🔺🔹🔸 NOTE Haifai kwa wajawazito ,wanaonyonyesha na watoto wadogo
Reviewed by Koroti MlMProTz on 11:05 AM Rating: 5

No comments: