SPIRULINA


Spirulina ni cyanobacterium (blue-green algae) ambayo inatumika na binadamu na wanyama wenginehumans. Kuna species mbili, Arthrospira platensis na Arthrospira maxima.
Arthrospira inapatikana Dunia nzima; ambapo inatumika kama virutubisho dietary supplement pia kama chakula whole food; inapatikana pia katika mfumo wa vidonge, na kwa mfumo wa unga pia. Inatumiaka kama chakula cha mifugo, samaki.
Spirulina ndio chakula kinachoaminika kuwa na virutubisho vyote. Hata wanasayansi wa anga wanapoenda angani chakula wanachobeba huwa ni Spirulina, kwa sababu kina virutubisho vyote, Sasa mimi Koroti nitaenda kukueleza baadhi ya faida ya chakula hichi na endapo utakihitaji utawasiliana na mimi ujipatie ili kunufaika na kazi zifuatazo ambazo itaenda kukufanyia
Note ili kupata matokeo mazuri unashauriwa kutumia siku 90 mfululizo
KAZI ZA SPIRULINA
🌲huimarisha Kinga ya mwili
🌲huboresha na kuzalisha cell
🌲hukinga na kuzuia uzalianaji wa virus
🌲huboresha mzunguko wa damu
🌲hutibu vidonda vya tumbo
🌲husaidia kuwaongezea lishe wagonjwa wa kisukar
🌲huondoa kasi ya madhara ya kisukari
🌲huondoa uvimbe
🌲huponyesha haraka majeraha
🌲huongeza kiasi kikubwa cha damu
🌲huondoa sumu
🌲ni lishe bora kwa watu wote (Wajawazito, wazee)
🌲hulinda ini lisiharibiwe na sumu kutokana na vyakula tunavyokula
INAFAA ÷WATU WANAOFANYA KAZI MDA MREFU HIVYO HUKOSA MUDA WA KULA, WATU WENYE MATATIZO YA MIFUPA NA MOYO, WATOTO WASIOPENDA KULA, WATU WENYE MATATIZO YA UTUMBO
Kujipatia lishe hii iliyopo mfumo wa vidonge wasiliana nami kwa namba 0656459057
SPIRULINA SPIRULINA Reviewed by Koroti MlMProTz on 2:01 AM Rating: 5

No comments: