TAMBUA MAAJABU YA NYANYA KWENYE MFUMO WA UZAZI NA MKOJO


LYCOPENE (KIAMBATA CHEKUNDU)
lycopene ni kiambata chekundu (carotenoid) kinachopatikana  katika matunda makundi kama vile  chungwa, embe, papai, nyanya na mengineyo.
Lycopene ni mojawapo ya kiambata kikubwa chenye uwezo wa kuondoa sumu na mabaki mwilini zaidi hata ya dawa zilizoko hospital. (Powerful anti...oxidant)
lycopene hii inayopatikana katika matunda haya kwa huchukuliwa  kiwango kidogo na mwili kupitia chakula, hivyo wanasayansi kama mm tuliamua kukaa na kuona jinsi gani ya kupata kiambata hiki ambacho kina umuhimu mkubwa kwa afya ya binadamu kwahiyo tuliamua kutengeza dawa ya LYCOPENE  ili kumuwezesha mwanadamu kupata carotenoids hii kwa urahisi
lycopene hii inauwezo mkubwa wa kuondoa sumu na mabaki mwilini Mara 2 zaidi ya procyanidini, Mara 100 zaidi ya vitamin E na Mara 1000 zaidi ya vitamin C, ndugu msomaji unaweza kuona jinsi gani lycopene ilivyo na nguvu kuliko hizo antoxidant tulizozoea kuzitumia
Baada ya kuchukuliwa na mwili lycopene hii huenda kwa wingi katika via vya uzazi
Kwa wanaume kama vile tezi ya adrenal, korodani, tezi ya prostate nk
Kwa wanawake lycopene huenda kwenye ovari, mfuko wa mimba, mlango wa shingo ya kizazi (cervix), kwenya matiti na kadhalika
 Kadri mtu anavyozidi kukua ndivyo kiwango cha lycopene kwenye via vya uzazi pamoja na damu kinavyozidi kupungua hivyo kufanya magonjwa mengi hasa ya njia ya mkojo kutokea na kuwa sugu kama nitakavyoeleza hapa chini

KAZI ZA LYCOPENE
1. lycopene huongeza kinga ya mwili
2. humkinga mtu na magonjwa ya njia ya mkojo ikiwemo UTI sugu
3. Huondoa oxygen iliyoshindwa kutumika  (free radical) kwani oxgen hii ndo chanzo cha magonjwa mengi ikiwemo pia kansa mbalimbali
4. Huzuia kulika kwa mifupa (osteoporosis) na mifupa kupungua uzito wake  *(bone loss)* matatizo haya huwapata sana wazee hasa wamama wanapofikia kikomo cha hedhi
5.hubalance mafuta mwilini kwa kuzuia utengenezwajiwa wa mafuta mabaya (LDL) na vilevile husafisha mfumo mzima wa damu kwahiyo dawa hii ikitumiwa pamoja na GINKADIO husaidia sana kuondoa tatizo la presha pamoja na matatizo mengine ya moyo kwahiyo  mgonjwa  wa presha  namsahauri kuongeza lycopene hapo
7. Kwakuwa ni powerful antioxidant lycopene huzuia magonjwa mengi katika via vya uzazi vya mwanamke ikiwemo kansa pia hasa kansa ya titi
8.lycopene pia hukabiliana na  matatizo yanayoikumba tezi ya prostate kwani tezi hii ina gamba gumu kwahiyo ni marachache sana tezi hii kushambuliwa na magonjwa ila inapotokea tezi hii imepata ugonjwa wowote basi ni vigumu kutibika kwa dawa za kawaida kwani gamba gumu lililonje ya tezi hii huzuia dawa hizo kupenya
KWAHIYO ni lycopene pekee ndo inaweza kupenya na kuondoa bacteria wote au tatizo lolote lililoko kwenye tezi hii
9.humkinga mtu na kansa ya tezi ya prostate
10. Huongeza uchukuliwaji wa nutrients kutoka katika vyakula mbalimbali viingiavyo mwilini kwa jinsi hiyoo humfanya mtu kuwa mwenye afya

JE LYCOPENE INAWAFAA WATU GANI??
1.watu wote wenye matatizo ya njia ya mkojo ikiwemo UTI sugu
2. wanaosumbuliwa na presha (+ginkardio)
3.matatizo ya tezi dume
4.wanawake wote hata kama sio wagonjwa kujikinga na baadhi ya kansa kama vile kansa ya titi.
5.Kina baba wote kujikinga na kansa ya prostate ( kansa ya tezi) kwani kadri mwanaume anavyokua ndivyo prostate gland inavyozidi kuongeza size hivyo wababa  mnywe hii dawa mi nshapiga vikopo 3 saizi  na pia baba zetu walioko nyumban tuwape pia kuwakinga na kansa ya tezi dume na ukuaji wa tezi hii
6. watu wenye kinga ndogo ya mwili eg.  Wenye HIV na kansa
7. watu waliodhoofu kwani huongeza uchukuliwaji wa nutrients
8.Wanawake wasioshika ujauzito na ambao homoni zao haziko sawa

LYCOPENE HII IMETENGENEZWA KWA NYANYA JE NAWEZA KULA NYANYA TU NA NISITUMIE DAWA HII????
 Jibu ni "no" tena NO kubwa kwani kidonge cha lycopene kina milligram 500 ambazo utahitaji ule nyanya zisizopungua 700 kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya siku
Je unaweza kula nyanya hizo
lakini kingine lycopene huitaji kubebwa na mafuta (fat...soluble) ili iweze kuingiaa mwilini kwahiyo ulaji wa matunda haya utakufanya upate kiwango kidogo cha lycopene ambacho hakiendani na matumizi ya mwili.
Tumeviweka viambata hivi kitaalamu katika mfumo wa vidonge  ambapo utatumia 1*1 ukihitaji wasiliana nami
By Koroafya
WhatsApp 0656459057
TAMBUA MAAJABU YA NYANYA KWENYE MFUMO WA UZAZI NA MKOJO TAMBUA MAAJABU YA NYANYA KWENYE MFUMO WA UZAZI NA MKOJO Reviewed by Koroti MlMProTz on 9:22 AM Rating: 5

No comments: