JINSI YA KUFUNGUA PAGE YA BIASHARA FACEBOOK

Facebook imekuwa sehemu ambayo ina watu wengi sana ambapo unaweza ukatumia vizuri unaweza kuingiza pesa za kutosha kuendesha biashara yako ,sasa watu wengi wamekuwa wanasumbuka jinsi gani anaweza kuwa na page facebook na huu wa leo ni muongozo ambao ambao utakusaidia kukuza biashara yako kupitia facebook
HATUA YA 1
Unatkiwa uwe na account ya kawaida facebook  ndipo uweze kutengeneza page facebook kwahiyo ingia kwenye account yako facebook(log in)

ANGALIA YANGU HAPA CHINI


HATUA YA 2
Baada ya kuingia kwenye account yako ya facebook kama inavyoonekana hapo juu bofya hizo strip  nne za mistari juu kabisa kwenye account yako itakuletea screen kama hii hapa chini
ikitokea hyo picha hapo juu cha kufanya una scroll mpaka uone sehemu imeandikwa create page  kama inavyoonekana kwenye hii picha hapa chini


HATUA YA 3 
Bofya hiyo sehemu iliyoandikwa Create New Page ili uweze kuanza kutengeneza page yako ya biashara  facebook  na uendelee na hatua inayofuata ,ukishabofya hapo itakuletea page ifuatayo
Hapo utabonyeza get started  kuona page inayofuata
HATUA YA 4
Hapa unachagua jina la page yako ambalo litakuwa la pekee ,liwe rahisi kukumbuka na pia liwe linatamkika vizuri ,pia liendane na huduma yako mfano mimi nataka niuze bidhaa za afya  naweza andika tiba mimea,afya karne ya 21,au nkajibrand mimi Koroti mshauri afya nk
HATUA YA 5
Baada ya kuandika jina la page yako kama nilivyochagua langu katika hatua ya nne utabonyeza next sasa hapa utachagua category yani page yako ni ya huduma gani mfano mimi nauza bidhaa ntachagua products  na baadae ntachagua subcategory afya na urembo kama utakavyoona hapo chini
Category and subcategory
Baada ya hapo unabonyeza next kwenda step inayofuata 
HATUA YA 6
Hapa unajza adress ya website yako au blog yako kama unayo mfano www.korotitz.blogspot.com kama huna bonyeza next uskip

HATUA YA 7
Hii ni hatua ya kuupload picture sasa kama tayari una picha ambazo umeandaa zinaendana na page yako zenye ukubwa wa kutosha utaupload kumbuka kama huna utaskip uapload baadae na unaruhusiwa kubadili picha hjzi

Kuna picha mbili hapa za kuapload cover page na profile picture baada ya kupload picha hizi mbili au kama huna tayari utarudi baadae utaenda step inayofata
hiyo kubwa ni cover photo na hiyo ndogo ni  profile picture 


HATUA YA 8
Baada ya hatuia ya saba page yako itakuwa tayari kutumiwa  na utaweza kuongeza vitu vingine vitakavyofanya page yako ieleweka kwa wanaotembelea

Edit page 
hapa utabofya ili kuongeza maelezo ya page yako kama Description hii inaeleza kwa ndani page ya nani na inatoa huduma zipi nk
    Posts  hapa ni kwa ajili ya kuchapisha makala zako unaweza tafuta www.facebook.com/KorotiProduct1 ili uone mfano page yangu nilivyoitengeneza
UKIWA NA SWALI LOLOTE JUU YA KUFUNGUA PAGE COMMENT HAPO CHINI NTAKUJIBU



JINSI YA KUFUNGUA PAGE YA BIASHARA FACEBOOK JINSI YA KUFUNGUA PAGE YA BIASHARA FACEBOOK Reviewed by Koroti MlMProTz on 2:38 AM Rating: 5

13 comments:

  1. Samahani ukitengeneza page unalipwa kama ukiunganisha na ATM CARD yko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Samahani mimi page yangu nimetengeneza blvizi kuhusiana na maswala haya ya kuvuta post hapo ndo sijaelewa naomba unieleweshe

      Delete
  2. Nlikuwa naomba maelezo zaidi kuhusiana kuilipia hiyo account ili kuipromote zaid au hakuna malipo yyt ?

    ReplyDelete
  3. Na mimi nina Page Facebook Ina Like 3000 Ila Sijajuwa Jinsi Ya Kulipwa

    ReplyDelete
  4. Boss nataka KURUDISHA page yangu niliremove nafanyaje?

    ReplyDelete
  5. Boss no yangu WhatsApp 0735908085 naomba nirudishe page yangu niliremove

    ReplyDelete
  6. Naomba kujua hayo malipo wanalipaje

    ReplyDelete
  7. Je ukihitaji page iwe maalufu mapema nafanyaje Ili iweze kufahamika mapema

    ReplyDelete
  8. Mimi kila nikijalibu kufungua inagoma sijui shida ninini

    ReplyDelete
  9. kama kuna whatsap tumen hayo maelezo

    ReplyDelete
  10. Nisaidie jinsi ya kupata marafiki wengi kataika page yangu nimefungua ila ina watu wacahche sana

    ReplyDelete
  11. Jin's ya kuboost page

    ReplyDelete