FAHAMU PEDI TIBA PEKEE ZA ASILI

Neplily Ped
Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni
“Nep” kutoka kwa neno Neptunus
“Lily” kutoka kwa maua yaitwayo Lily
Maua ya Lily ni kivutio kikubwa hasa kwa wanawake.
Mara nyingi maua haya hutumiwa kuonyesha ishara ya urembo, uzazi, upendo, huruma, usafi….n.k. yaani mambo yote wanawake
wanayohusika nayo na kupenda.
MATATIZO YAWAPATAO WANAWAKE WAKATI WA HEDHI
♧Kichwa kuuma
♧Maumivu ya tumbo
♧Kukosa hamu ya kula
♧kusikia kichefuchefu
♧kuingia hedhi zaidi ya siku 7
Pads za Neplily zimetengezwa na cotton material iliyo laini na ina uwezo wa hali ya juu kufyonza hedhi kwa haraka . Hii inamfanya mwanamke kuwa na faraja na uhuru.
Imewekwa anion plate: ambayo imewekwa katikati ya pamba nyepesi,na hii anion plate ikilowa damu tu inafyonza damu yote na kuruhusu upepo upenye ili kuondia joto na unyevu unyevu na kusababisha bakteria kukosa sehemu ya kuotea.Baada ya pedi hii ya Neplily kupata unyevu unyevu inaanza kusambaza anions kupanda na kuingia kwenye kizazi,mirija ya uzazi hadi kwenye damu pia.
ANIONS hizi hutokana na natural forces yaani nguvu asili kama maporomoko ya maji makali,upepo mkali,mionzi mikali inapokuwa inapiga molekyuli za hewa husababisha kuzalishwa kwa chembechembe hasi ambazo huitwa Anion ambazo ni tiba tosha katika mwili wa binadamu.
Kazi kubwa ya anions hizi ni;
♧inazuia Urinary Tract Infections (UTIs)
♧Inarudisha mzunguko wa hedhi kwa mwanamke.
♧Inaondoa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
♧Inatibu fungus na miwasho katika sehemu za siri.
Ina uwezo wa kunata chupi vizuri ili kuzuia kuteleza. Hivyo kumfanya mwanamke kuwa huru bila ya kuwa na wasi wasi.
Pembeni yake kuna vishikio vinavyosaidia kushika chupi vizuri na kuzuia kuvuja kwa pembeni (side leakage).
UBORA WA NEPLILY
Ni Super absorbent. Ina uwezo wa kufyoza hedhi kwa kiwango kikubwa. Zaidi ya ml 250
No leaks. Haipitishi hedhi.
Protection from UTIs. Kinga dhidi ya ugonjwa sugu wa UTIs.
Kujipatia Neplily pads wasiliana nasi kupitia namba
Text/Whatsapp only0656459057 Koroti
Arusha Tanzania
Mikoani tunatuma
Mawakala na wote wanaopenda kujiajiri nawakaribisha sana
FAHAMU PEDI TIBA PEKEE ZA ASILI FAHAMU PEDI TIBA PEKEE ZA ASILI Reviewed by Koroti MlMProTz on 6:41 PM Rating: 5

No comments: