BIASHARA INAYOTEKA SOKO DUNIANI

Habari ndugu msomaji wa makala zangu leo napenda nkupe elimu juu ya biashara ambayo kwa sasa ndo inateka soko na kusaidia watu wengi kujikwamua kiuchumi mimi binafsi imenisaidia
Biashara hii nilianza nikiwa chuoni nikaweza kujitegemea kabla ya ajira  na hata nilipoajiriwa nikawa siwazi swala la mshahara kutokana na kipato ninachokipata
Kiukweli biashara hii pia ina elimu endelevu  elimu hii imenisaidia pia katika ajira kufanya vizuri kwahiyo mpaka sasa naamini ni biashara inayoweza kutimiza ndoto zako kulingana na kiu yako
na kampuni nzuri uliyoichagua
MULT LEVEL MARKETING BUSINESS
 (A 21st Century Business)
What we call Network Marketing (A Network of People Marketing)

kWANINI NI BIASHARA YA KISASA?
Kwanini ni Nzuri sana au Kwanini ni BORA sana kuliko hizi Biashara nyingine tulizozizoea?

1.Ushiriki
Mtu yeyote anaweza kushiriki, haijalishi ni msomi au sio msomi, ni muajiriwa au sio muajiriwa, ni mfanyakazi au ni mwanafunzi ,ni mfanyabiashara mwenye  vyanzo vingi vya mapato au la.

hakuna  haja ya kuwa na Vitu Kama vile:
-leseni ya biashara
-wafanyakazi
-pango(fremu/ofisi)
-mtaji mkubwa
-muda mwingi
Yaani ni biashara kubwa kwa mtaji mdogo,unahitaji mtaji wa kuanzia tsh 26,000 tu uweze kuingia na kujifunza mengi zaidi yatakayo kuongezea kipato kikubwa ndani ya Muda mfupi.

2. Mfumo
Hasa katika ongezeko la ukosefu wa Ajira, huu mfumo ulianzishwa Kwa Mara ya kwanza huko Ulaya lengo kubwa ni kukabiliana na tatizo la Ajira na kuongeza kipato cha Mtu yeyote atakayeamua kufanya biashara hii Siku hizi Watu wengi wanapenda kujiajiri wenyewe Kwa sababu tuna ongezeko kubwa la ukosefu wa Ajira, Ongezeko hili limesababisha watu tutafute kujiajiri wenyewe, sehemu kubwa sana hujiajiri kupitia biashara hiI Kwa kuingia ubia na makampuni makubwa ambayo tayari yameshaneemeka kibiashara.

3. Kuongeza KIPATO cha ziada
Tukiangalia Watu wengi ambao ni wafanyakazi ambao wameajiriwa sehemu mbalimbali wengi  wanafanyakazi kubwa ila wanalipwa mshahara kidogo,  (Too much over work for a little pay )hivyo huwapelekea kugoma.Ili kuondoa tatizo wanapaswa kuanza kuwekeza ktk kutafuta kipato cha ziada baada ya muda wa kazi na biashara hii inawafaa maana haihitaji kufanya kazi Kwa  muda mwingi.

4. Urahisi  (Very simple)
 Ni rahisi sana na haina changamoto kubwa na mtu  yeyote anaweza kuifanya, kikubwa ajue kuandika na kusoma. Hata mtu wa elimu ya darasa la saba anaweza kufanya hiI biashara. Pia sio rahisi kupata hasara Kwa sababu ukinunua bidhaa unauziwa bei ya chini na kampuni husika na ukiuza unauza Kwa bei ya juu na unapata faida.

5. Kuwa Mfanyabiashara Mkubwa
Unaweza Kuwa Mfanyabiashara Mkubwa ndani ya Muda mfupi Kwa inakupa uwezo wa kupata kipato kikubwa hata kuweza kumiliki biashara ambazo ulidhani huna uwezo nazo.Yaani ni biashara pekee inayomwinua mtu wa kawaida kupata kipato kikubwa bila kutumia;-
-muda mwingi
-gharama kubwa
-nguvu nyingi

6. Inajulikana Kitaifa na Kimataifa
Hii ni Kwa sababu ni BIASHARA ya Karne ya 21,  biashara ya KISASA zaidi na  unaweza kuwa na mtandao wenye watu kutoka nchi mbalimbali,hivyo si rahisi  kuyumba kiuchumi maana kila nchi biashara inaendelea.
Kwa ushauri jinsi ya kuanza na kuanza kufanya biashara hii yenye manufaa kwako wasiliana nami
 Whatsapp /Text 0656459057
Koroti Mwashungu
Business Coach


BIASHARA INAYOTEKA SOKO DUNIANI BIASHARA INAYOTEKA SOKO DUNIANI Reviewed by Koroti MlMProTz on 8:02 PM Rating: 5

No comments: