PEARL BEAUTFYING SOAP....TIBA YA KWELI KABISA.


Hii ni sabuni iliyotengezwa kutokana na magamba ya viumbe wa baharini km simbi, konokono na viumbe wengine wa baharini.
Magamba hayo yanasagwa na kutolewa Mali ghafi ya kutengeneza sabuni bora pearl soap...!
Sabuni hii ina aina18 za amino acid..zaid ya aina 30 za trace element.na vitamins ambazo zinasafirisha material za virutubisho ndani ya ngozi na kuondoa vitu vigeni katika ngozi.
KAZI ZAKE...
1.kutengeneza uzuri wa ngozi iwe na ubora wake..
2.inaimarisha uasili wa ngozi..
3.inaondoa mafuta na jasho na kuifanya ngozi kubaki kavu na safi..4.inasafisha na inaondoa sumu ndani ya ngozi..
5.inaondoa mabaka na upele..
6.kuponya muendelezo wa tishu zilizo haribika ndani ya ngozi..7.kuondoa mafuta yaliyoganda na kuziba vinyweleo na kuifanya ipumue vzr...
8.inaondoa chunusi na kuifanya sura ing'ae.
9.inang'arisha ngozi
10.inazuia uharibifu wa ngozi unaotokana na miali ya jua na miali na kemikali nyingine kupitia ngozi...!!
11,Inaondoa mba wa shingoni, mwilini na hata kichwani,
12,Inaondoa Fungus za aina zote hata kwa wanaonuka miguu wameliwa vidole wakivua viatu, .
Utaalamu huu wa kutumia viumbe wa bahari katika usafi na uimara wa ngozi ulianza karne nyingi nchini china na unaendelea hadi leo na hata wazee wakichina hawachoki ngozi na akili.
Ni nzuri kwa wanawake na wanaume watoto, vijana na wazee...!!
matumizi .
1.loweka ngozi kwa maji..
2.paka sabuni juu ya ngozi..
3.sugu kwa dakika 1-3.....
4.suuza kwa maji safi.
5.tumia mara 2 kwa siku kupata matokeo mazuri
Enjoy harufu nzuri na isiyoumiza pua zako yenye kukufanya upende kuendelea kuoga tu, harufu salama ya maua na zabibu..!
ANGALIZO,,
sabuni hii haijatengenezwa kwa kemikali za viwandani ni Tiba mbadala, hivyo unashauriwa kuitumia na kutokupaka vipodozi vya kemikali, hasa Lotion zenye hydroquinone, ina maana unatibu Kisha unajeruhi tena, Tumia Lotion zisizo na hizo kemikali.
TUPO ARUSHA TANZANIA
Kwa Kuzipata sabuni hizi wasiliana nasi
Kupitia namba 0656459057
Koroti Mwashungu
Health Consultant
Popote ulipo zitakufikia
PEARL BEAUTFYING SOAP....TIBA YA KWELI KABISA. PEARL BEAUTFYING SOAP....TIBA YA KWELI KABISA. Reviewed by Unknown on 7:33 AM Rating: 5

2 comments: