YONG CORDYCEPS Cordyceps sinensis ni mmea ambao ni adimu na wenye thamani kubwa sana nchini china ,kipindi cha nyuma ulifahamika kama mmea wa maajabu kutoka mibinguni, kwanza mmea huu unaziliana kwa uchache sana ila una uwezo uliopitiliza hivyo kufanya hata gharama yake kuwa kama ya dhahabu Yong cordycep( Insect body and grass body) yani dawa hii ni mmea na ni mdudu kwa waktai mmoja ,sasa umbo lake hili limepewa majina mawili ambapo kuna millitaris na mycelium ,millitaris ni kama matunda ,mycelium ni kama mizizi Uwezo mkubwa wa yongcord upo kwenye millitaris maana ndo una vtu vyote vya muhimu vilivyotengeneza cordyceps, Sisi tumetumia asilimia 100 ya millitaris kufanya tiba hii adimu kufanya kazi katika mwili wa binadamu ipasavyo na moja ya kazi za mmea huu ni kama zifuatazo KAZI ZAKE *Inaboresha na kudhibiti mfumo wa kinga kwa kusaidia antibodiez ambazo ndo waliniz wa maradhi kuzalishwa kwa wingi * Inaongeza nguvu kwenye seliza binadamu hivyo kusaidia kuondoa uchovu wa mwili na kufanya mtu kuwa imara sana * Kwenye mfumo wa hewa* Inatibu asthma(pumu), inatibu matatizo ya mafua na makohozi, inalinda mapafu na uwezo wa kupumu hivyo inauwezo mkubwa wa kukukinga na kukutibu magonjwa yote ya kifua Kwenye moyo inazuia tatizo la moyo kukosa damu kwa kupunguza matumiz ya oxyen kwenye moyo hivyo kufanya mapigo ya moyo yawe sawa wakati wote Inaboresha uwezo wa ini na figo kufanya kazi vizuri,Inalinda na kutibu figo na ini kwa hyo endapo mtu ana tatizo lilosababishwa na kuathirika kwa figo hii itamsaidia mfano mwanaume kuwahi kufika kileleni kutokana na sumu kuathiri figo atapata suluhu Cordyceps inasaidia wafuatao Watu wenye pumu,Kikohozi cha mda mrefu na matatizo sugu ya kifua Watu wenye kinga ndogo kwenye mfumi wa upumuaji yani wanaougua mara kwa mara matatizo ya kifua Wenye matatizo ya figo ,mfano kuathiriwa na sumu nk Inaongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa na hamu kwa wote Inasaidia mtu kuwa na afya nzuri Ni nzuri kwa watu wenye kinga ndogo mwilini kujipatia mmea huu adimu uliohifadhiwa kitaalamu katika mfumo wa vidonge wasiliana nasi kwa namba 0656459057 Usisahau kulike page yetu ya afya kwa kubofya fb.me/Korotitz
Reviewed by Koroti MlMProTz on 11:09 AM Rating: 5

No comments: