MBINU ZA KUUZA NEPLILY PADS ZAIDI 500 KWA SIKU 30

SIRI ZANGU 12 ZILIZOFANYA NIWEZE KUUZA NEPLILY PADS 500 KWA SIKU 30 YANI MWEZI MMOJA KWA MUDA WA ZIADA HUKU NIKIENDELEA NA KAZI YANGU YA AJIRA
Kumbuka hizi siri hutapata mahali popote maana hazijaandikwa kwenye kitabu chochote ila ni practical yani Mr Koroti mwenyewe nmezihakiki
Kiukweli haikuwa kazi rahisi sana kutImiza ndoto au lengo la kuuza ped hizo kwa siku 30 ,Napenda kumshukuru Mungu kwa kutimiza lengo langu ambalo nililiweka,nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza Nepliliy Pads kwa muda wa mwaka mmoja sasa kwahiyo nazijua vizuri na nmepokea mrejesho wa pedi hizi kwa wateja wangu mikoa yote iliyopo Tanzania kuhusu ubora wanavyozipenda nk kwa uwezo wake wa kuondoa machukizo kipindi cha hedhi ndio maana nimedumu kwenye biashara hii na nitaendelea kudumu  sasa leo ninakwenda kukupa mbinu zangu au siri zangu za kuweza kuuza pedi hizo kwa muda mfupi yani siku 30 tu
Wakati mimi Koroti naanza biashara hii nilianza nikiwa chuoni mkoa wa Arusha ila ndani ya mwaka sasa nimekuwa na uwezo mkubwa wa kuuza ped hizi za Neplily na kusaidia watu kufanya kama ninavyofanya mimi hii ni kwasababu nilidhamiria na nina ndoto kubwa kibiashara sasa zifuatazo ni mbinu nazotumia
1.Kuweka lengo la kila mwezi na kila week  ,binafsi nimekuwa naweka malengo yangu na kuyagawa katika muda mchache ili niweze kuyafkia ndani ya muda husika mfano lengo la mwezi huu ni kuuza  pedi 500
2.Kuandaa mikakati thabiti ,kitu kingine baada ya kuwa na lengo huwa nakaa chini peke yangu naandaa  mikakati jinsi gani navyoweza kutimiza lengo langu,njia zipi nitumie kufikia hao watu mfano nilipokaa na kuona nahitaji kuuza pedi 500 kwa mwezi niliweka mikakati ifuatayo
3.Kutafuta mawakala mikoani ambao watachukua bidhaa kwa bei ya jumla na kuuza kwa rejareja ,sasa hapa mara nyingi ili kupata mawakala hawa imenibidi kuwatafuta kwa mitandao ya kijamiii kama facebook,whatsapp nk kwa kutoa elimu na kuwaelekeza maana halisi ya uwakala
4.Kuwafundisha mawakala juu ya bidhaa na kutafuta wateja kutafuta wakala tu haitoshi kama hutampa elimu juu ya bidhaa ni kwamba atakaa nayo hatachukua tena na atakata tamaa ,sasa mimi nimekuwa nikifungua group la whatsapp kwa ajili ya wa mawakala wangu ili waweze kufahamu bidhaa vizuri,jinsi ya kutangaza na kuuza ,yani wasiwe tegemezi bali wawe wafanyabiashara wakweli na hapa nawasiaidia kujibu changamoto wanazokutana zaidi ya hapo
5.Kutoa mda wangu kwa anayestahili nimekuwa naweza kufatilia inbox au kufanya coaching inbox kwa wale wanaoonyesha kwelu wanania na wanandoto za kufika mbali,kutokana  na muda wangu kuwa busy sana ,nikipata muda natumia na wale wanaoonyesha wanastahili kupewa muda wangu wenye thamani,poteza muda vyote naweka kando kufikia ndoto zangu
6.Huduma ya haraka na uhakika,nimekuwa natoa huduma ya haraka na uhakika kwa wateja wangu,yani mfano mtu anapiga simu Hello Koroti nipo Mwanza nahitaji ped mbili,natafuta tu kujua yupo mwanza sehemu gani na njia ipi ni nzuri kumhudumia kwa haraka ,kama ni kumuunganisha na wakala namuunganisha na wakala wangu aliye karibu naye ili apatiwe huduma
7.Kutunza kumbukumbu za wateja ,ili biashara yako ikue inahitaji wateja wa zamani waendelee kununua zaidi na wateja wapya kuja,sasa wateja wa zamani nimekuwa naweka kumbukumbu mtu fulani yupo eneo fulani alichukua ped ngapi lini,hii inanisaidia kuwakumbuka wateja wangu na kuwafuatilia kupata mrejesho ili kama kuna lolote anijuze na  kama anahitaji huduma tena ataniambia na ntamhudumia
8.Hii biashara ni ya mtandao kwahiyo nina team nimekuwa nikifundisha team yangu mambo yakufanya kukuza personal development na kukuza uwezo wa kufanya biashara hii imenisaidi na mimi kujijenga kama mkufunzi na biashara yake ,
9.Nimeanzisha group langu la afya na ujasiriamalia mabalo linansaidia kuwasiliana kwa karibu na watu ambao wametembelea page yangu na wanatamani kujifunza zaidi,watu hawa wamekuwa sehemu ya kunfundisha uongozi,kwani hata kuongoza group hilo lenye watu zaidi ya 200 ni moja ya kitu kikubwa ,pia watu hawa baadhi wamekuja wateja na baadhi wamekuwa mawakala na kukamlisha idadi ya pedi 500 kwa mwezi
sasa kwa ufupi ped hizi 500 ukiacha faida ya rejareja kampuni inanilipa bonus mwisho wa mwezi na pia tayari nimeshaweka pesa yangu ya rejareja mfukoni
10.Nmekuwa nikitumia mitandao ya kijamii kama facebook,insta,youtube, nk kutangaza huduma yangu na kufanya watu wawe na imani nami ,mfano page yangu facebook inaitwa Koroti product Supply Tanzania unaweza bofya hapa kuion fb.me/Korotitz au website yangu www.korotitz.blogspot.com Hii ni njia nzuri ya bure ambapo tunaweza kukimbilia kulingana na kipato hasa kufikia watu wengi kwa gharama kidogo ,mimi binafsi Koroti nafkia watu hadi laki 1 kwa wiki
11.Nmekuwa mtu mwenye msimamo mkubwa na imani na biashara hii ingawa watu watasema nini mimi huwa siyumbishwi kirahisi ,kitu ambacho kinafanya nizidi kupepea kibiashara tofauti na watu ambao huwa wanahangaika huwa hawapati matokeoa zaidi ya majuto hapa nazungumzia mtu anaacha biashara hiii ,anaanza nyingine anaacha yani kiguu na njia mimi sipendi hii tabia na mtu mwenye tabia hii si rafiki yangu mpaka aache
12.Uvumilivu.Nmekuwa mvumilivu toka nianze biashara mpaka sasa nimepitia mengi ila kila siku nazidi kujiboresha biashara haihitaji mtua anayetaka mafaniko ya fasta inataka mtu anayefikiria kutangeneza bomba la pesa,sasa fikiria kama mimi nalipwa mara tatu sasa
napata faida rejareja ,nalipwa kulingana na mauzo yangu , na pia nalipwa kulingana na watu niliowafundisha napewa asilimia zangu hapo
Hizo ni siri zangu 12  ambazo nawewe ukitumia kwa biashara yako zitafanya usogee mbele kibiashara na pia kama utahitaji msaada kutoka kwangu Mr Koroti wasiliana nami tu kwa namba  Text/Whatsapp 0656459057 ntakusaidia uweze kujiajiri na kukupa mbinu za kufikia mafanikio
UKIHITAJI KUFAHAMU KWANINI PADS ZINAPENDWA NA ZINAENDA KUTOKA SOKO BOFYA  HAPA MBELE NEPLILY PADS NI ZAIDI YA PEDI KWA KULINDA AFYA YA UZAZI KWA MWANAMKE 

MBINU ZA KUUZA NEPLILY PADS ZAIDI 500 KWA SIKU 30 MBINU ZA KUUZA NEPLILY PADS ZAIDI 500 KWA SIKU 30 Reviewed by Koroti MlMProTz on 6:09 PM Rating: 5

No comments: