KNOW WHY YOU SHOULD JOIN NEPSTAR FOR FINANCIAL FREEDOM/JUA KWANINI UCHAGUE NEPSTAR



NEPSTAR TANZANIA COMPANY Ltd ni kampuni iliyoingia ubia na kampuni kubwa ya Kimataifa  kutoka china ijulikanayo kama NEPTUNUS INTERNATIONAL COMPANY kwa lengo la kuwezesha kufikisha huduma za  kiafya kwa watu na kwa ajili ya kukuza kipato cha mawakala/wasambazaji wake.
Tuangalie historia ya Neptunus kwa ufupi. Neptunus ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuonana kwa pamoja. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za mahospitalini (natural drugs) yaani ni  dawa asili. Viwanda hivi ni 1⃣NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD Hiki kiwanda kipo jijini New York nchini Marekani
2⃣NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO Ltd hiki kipo shenzhen stock exchange

3⃣ NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong nchini China.

Hivyo viwanda vitatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya Neptunus. Kampuni hii ilianza kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali ambavyo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii ilitunukiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho pekee la blood pressure. Hivyo bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka kutimiza ndoto.

Mwaka 2010 kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU.
Kampuni hii ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndugu ZHANG SIMIN ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana China na anayemiliki kampuni kubwa bora China nzima.
Bwana ZHANG SIMIN alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko Africa yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara. Iliingia Africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA,TANZANIA na Ikasambaa nchi zingine.

Ni kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yaani SOFT GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea, matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea asilia.

Ni kampuni ya pekee yenye dawa na virutubisho vya kisasa kabisa katika kutibu magonjwa TABIA
Kampuni ina furaha kubwa kukukaribisha hata wewe uweze kuwa miongoni mwa wanachama wake,bado inatoa fursa kwa wote ambao wanapenda kujiajiri kupitia bidhaa zake inazozalisha.
Karibu Sana.

 FAIDA YA KUWA MSAMBAZAJI WA NEPSTAR KWA UFUPI.

1 :KIINGILIO.
Kampuni ya Nepstar hakuna kiingilio kwa sasa unatakiwa kuwa na mtaji kwa mara ya kwanza tu
Mitaji imegawanywa  kwa combo zifuatazo  360000 /=, 620000  na 1050000 tu,baada ya malipo hayo hakuna mchango wowote ambao mwanachama atatakiwa kutoa kwenye kampuni hivyo hii inamuwezesha distributor wa kampuni hii kuweza kutoa fursa hii kwa mtu yeyote katika jamii kutokana na unafuu wa gharama za mtaji .Kutokana na hili ni rahisi sana kutengeneza team
Kuwa na mtaji unapewa bidhaa za kuanza biashara

2: MALIPO KWA DISTRIBUTORS

Katika kampuni hii kuna malipo ya aina tatu ambayo distributor anaweza kuyapata;
~reja reja.
Hii ni faida anayojipatia dustribitor kwa kila bidhaa anayoiuza kwa mteja.Kampuni huacha faida ya 30% kwa kila bidhaa hivyo distributor hujiingizia pindi auzapo bidhaa.Faida hii huwahusu distributor wote bila kujali level aliyopo.
~direct bonus.
Haya ni malipo anayoanza kuyapata mtu kwa kila mwezi kama shukrani ya manunuzi aliyoyafanya kiwandani kwa kila mwezi.Faida hii mtu huipata kuanzia level 3-8.Hapa distributor hulipwa bonus kulingana na level aliyonayo na manunuzi aliyoyafanya kwa mwezi husika hivyo malipo hayo huanzia 20%-45%.

~Indirect Bonus.
Haya ni malipo ambayo distributor hulipwa kutokana na manunuzi ya team yake nzima,malipo haya hulipwa kuanzia distributor aliyefika level 3-8 na malipo hayo pia huanzia 20%-45% ya manunuzi yaliyofanywa na team husika.

~Faida kwa bidhaa.
Neptunus ina bidhaa nyingi sana,hii inampa uhuru distributor kutumia bidhaa atakazo kufanyia biashara.Katika bidhaa za kampuni hii kuna faida zifuatazo.

-ubora

Bidhaa hizi baada ya kutoka kiwandanihuchunguzwa ubora wake na shirika la kuchunguza ubora wa bidhaa duniani la GMP (Great Manufacturer Producers).Shirika hili huchunguza bidhaa zinazouzwa maeneo mbalbali duniani na hasa hasa bidhaa zinazoingia katika mataifa makubwa kama la Marekani na nchi nyingine za Ulaya,hivyo bidhaa za kampuni hii kupitia mikononi mwa GMP ni kutokana na ubora wake na kukibalika kwa bidhaa za kampuni kwa nchi zilizoendelea.

-Manunuzi
Kampuni haina vifurushi vya aina yeyote hivyo distributor hununua bidhaa kutokana na mtaji alionao hata kama ni bidhaa moja tena kwa bei ile ile ya kiwandani.Hii ni kwa sababu kampuni ilimrahisishia distributor mzigo wa kukaa ndani na bidhaa bila kuwa na wateja mwishoni kupata hasara kwa bidhaa hizo kuharibika.

3 : KUPANDA LEVEL/KUKUA KIBIASHARA.

Kupanda level inaendana na kukua kibiashara kwa sababu kadri unavyopanda level ndio unakua kibiashara. Katika kampuni hii masharti ya kupanda level ni marahisi sana ukilinganisha na makampuni mengine,mfano unapojiunga kwa combo ya 360000, 620000 au 1050000 =,tayari unakua umeingia level 3,kuingia level 3 tu unahitaji kufikisha point 200 tangu uanze biashara,kutoka level three mpaka level eight kampuni imeweka njia za aina tatu hivyo ni wewe tu kuangalia njia ipi inakufaa kutumia ili upande level.Kitu kingine cha msingi ni kwamba katika kampuni hii point hua hazifutwi kama hujafikisha za kukuvusha kutoka level moja kwenda nyingine kwa mwezi husika,hii ina maanisha kwamba katika kampuni hii hiwezi kushuka kibiashara (level) kamwe.
BOFYA HAPA KUJUA  NAMNA YA KUPANDA NGAZI NDANI YA KAMPUNI HII NILIYOJIAJIAJIRI.

FAIDA ZINGINE ZA KUFANYA BIASHARA NA NEPSTAR
1.BIDHAA MBALIMBALI ZA AFYA
Kampuni ya Nepstar ina bidhaa makundi mbalimbali ambazo zinahitajika kwa matumizi ya kila siku
Urembo mfano Pearl Beautifying Soap
Mama na mtoto  mfano Neplily Ped(www.korotitz.blogspot.com/2016/08/fahamu-pedi-tiba-pekee-za-asili.html),Nepbaby Diapers(www.korotitz.blogspot.com/2016/08/nepbaby-disposable-baby-diaper.html)
Tiba kwa magonjwa sugu kama presha, sukari,vidonda tumbo(www.korotitz.blogspot.com/2016/08/why-ginsenoside-is-called-king-of-herbs.html)
Virutubisho mf melatonin(http://korotitz.blogspot.com/2016/08/melatonin-solution-for-insomnia-and_29.html) kuondoa msongo wa mawazo ,kuongeza kinga nk
Na bidhaa aina nyingine nyingi zinakuja
2.BEI YENYE USHINDANI
Bidhaa za Nepstar Tanzania zinaaznia Tshs 2000 mpaka Tshs 70000 kwahiyo zina bei ambayo inamlenga kwanzia mtu wa chini mpaka wa juu na ambazo zinakuwezesha kufanya biashara vizuri bila tatizo la kukataliwa kisa bei juu
3.UNAWEZA KURITHISHA
Kampuni yetu inamruhusu mwanachama kumrithisha biashara yake mtu anayemtaka yeye.Faida kuhusu hili ni pale umri unapokuwa hauruhusu kuendelea na pilikapilika za mtaani au kwa bahati mbaya mwanachama akapatwa na umauti. Mtu aliyeteuliwa ambaye anaweza kuwa mtoto wake ataendelea kunufaika na matunda aliyopanda mwanachama aliyefariki
4.WEWE NDIYE BOSS
Hizi ni aina za biashara ambayo haina mtu wa kukufatilia mambo yako -ni biashara ya kujiajiri mwenyewe.
Maamuzi yote na mipango yote ya biashara yanakuwa juu yako wewe mwenyewe ,hakuna mtu wa kukusukuma au kukufokea.
Utajipangia ni muda gani ufanye kazi na muda gani upumzike,ukizembea umekosa kipato na ukifanya kazi umepata kipato
5.KIPATO ENDELEVU
Mwanachama analipwa muda mrefu baadaye kwa kazi aliyofanya mara moja
Mwanachama akipata mteja mmoja wa kudumu anakuwa amepata kipato chake cha kudumu ,awepo asiwepo au yeye afanye kazi asifanye kazi,kipato chake kipo palepale. Hii inamsaada sana pale unapopata dharura au kuumwa na huwezi kushiriki kwenye biashara.
I recommend this business because its a good program for people who want to be real entrepeneurs,U get unlimited business education without paying anything
6.ELIMU INAYOHITAJIKA NI YA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA
Huhitaji kuwa na degree wala diploma au certificate ili ufanye biashara hii ,kama umeweza kusoma hii makala basi una vigezo tayari vya kufanya biashara namimi ,kikubwa tu umri wako uwe above 18
7.UNAFANYA BIASHARA SEHEMU YOYOTE ULIPO
Biashara hii unaruhusiwa kufanya eneo lolote au nchi yoyote utakayokuwepo bila wasiwasi kabisa
Bidhaa zitakufikia na utaweza kufanya nazo biashara  bila wasiwasi,kitu kingine ofisi ya kampuni ndio ofisi yako kwahiyo huna haja ya kufungua ofisi nyingine ukitaka kukutana na wateja wako utakutana nao kwenye  ofisi ya kampuni
8.MAFUNZO MAALUMU
Nepstar inatoa elimu juu ya kujiendeleza binafsi(Personal development) na pia elimu juu ya biashara(business education) kwa mtazamo wangu hichi ni chuo ambacho hutakaa uhitimi maana kila siku unajifunza ,toka nianze hii biashara kila siku nazidi kukua na napata kujua umuhimu wa kusaidia wenzangu kuanza kidogo ili wafikie pakubwa
MAWASILIANO
Whatsapp/Text 0656459057
Fb Koroti Mwashungu
Seven Up Sakina Arusha
Business Coach
Share hii makala kuondoa tatizo la utegemezi na ajira
KNOW WHY YOU SHOULD JOIN NEPSTAR FOR FINANCIAL FREEDOM/JUA KWANINI UCHAGUE NEPSTAR KNOW WHY YOU SHOULD JOIN NEPSTAR FOR FINANCIAL FREEDOM/JUA KWANINI UCHAGUE NEPSTAR Reviewed by Koroti MlMProTz on 10:33 AM Rating: 5

No comments: